Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2024

Good Opportunity for Youth aged 19-24 in data field

 

Mistari ya Uponyaji ya Biblia

Tunapopitia changamoto nyingi mara nyingi tunahangaika sana na wakati mwingine tukisahau kuwa yupo Mungu yeye muweza wa yote, yeye aponyaye na kutakasa, tabibu wa matabibu. Hakika majina yote mazuri ni yake. Hii ni baadhi ya mistari ya Biblia ya uponyaji, isome na ubarikiwe na kupokea uponyaji:- Isaya 40:29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Zaburi 147:3 Huwaponya waliopondeka moyo, na kuziganga jeraha zao. Isaya 57:18-19 Nimeziona njia zake, nami nitamponya, nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia. Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema Bwana; nami nitamponya. Zaburi 103:2-5 Eeh nafsi yangu umhimidi Bwana, wala usizisahau fadhili zake zote. Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema, Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai, Isaya 38:16-17 Ee Bwana kwa mambo hayo watu hu

Jeff Bezos new girlfriend and future to be wife Lauren Sanchez random pictures yesterday event

 

5 Simple Ways To Succeed in Life

"Success is not an accident. It is the result of hard work, perseverance, learning, studying, sacrifice, and most of all, love of what you are doing or learning to do." - Pele The following are the 5 simple ways to succeed in life:- 1. Set Clear Goals: Define what success means to you and set specific, achievable goals to work towards. Break down larger goals into smaller, actionable steps to make progress manageable and measurable. Regularly review and adjust your goals as needed to stay focused and motivated. 2. Develop a Positive Mindset: Cultivate a positive attitude towards life and challenges. Embrace setbacks and failures as opportunities for growth and learning. Practice gratitude and self-compassion, and surround yourself with supportive and positive influences. 3. Take Action Consistently: Success often comes from consistent effort and action. Develop habits and routines that align with your goals and priorities. Take small steps every day towards your objectives

Marioo anatarajia mtoto kwa mpenzi wake Paulah?

Mwanamuziki staa mashuhuri kutokea Tanzania leo amepost picha kibao akiwa na mpenzi wake mrembo Paulah Kajala zikionyesha tabasamu zito sana na ni kama wanatarajia kumpata mtoto wao wa kwanza,  Marioo katika post yake ameandika, “Is it a boy or girl !?”huku akiweka alama ya emoji inayodhihirisha furaha kubwa aliyo nayo  Nimekuwekea picha hapa uziangalie na wewe mpenzi msomaji wa kurasa zetu.  #repost @marioo_tz @downloader_ __ Is it a boy or a girl !? πŸ˜‰ A. Girl πŸ’ B. BoyπŸ’™ . πŸ“Έ by @bless_dollar πŸ™Œ Follow us for more content like this/ Tufuatilie kwa makala nzuri zaidi kama hizi.

Tazama Listi ya Nchi 10 Bora Zenye Warembo Wazuri Zaidi Afrika

Zifuatazo ni nchi 10 bora zenye warembo wengi na wazuri zaidi Afrika:- Ethiopia:   Ethiopia ni nchi yenye utajiri wa tamaduni na wanawake wenye sura za kuvutia. Wanawake wa Ethiopia mara nyingi wanajulikana kwa macho yao ya kupendeza na ngozi yao ya asili. Mfano maarufu ni Liya Kebede, mwanamitindo ambaye amekuwa ikoni ya urembo wa Ethiopia kimataifa. Wengine ni Sara Nuru, Gelila Bekele, Lola Monroe, na Helen Getachew, ambao wameendelea kuwakilisha urembo wa asili wa Ethiopia katika tasnia ya mitindo na burudani. Tanzania:  Tanzania ni nyumba ya utamaduni mchanganyiko na uzuri wa kipekee. Wanawake wa Tanzania wanajulikana kwa ngozi yao yenye rangi ya asili na tabasamu lao la kupendeza. Hamisa Mobetto, Flaviana Matata, Millen Happiness Magese, Irene Uwoya, Wema Sepetu, na Agness Masogange (Rest in peace) ni baadhi ya wanawake wenye urembo na vipaji kutoka Tanzania, wanaoendelea kufanya vizuri katika tasnia ya mitindo na burudani. Zimbabwe:  Zimbabwe ina wanawake wenye urembo wa asili na

(Official Music Video) TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue]

Tazama video chiniπŸ’₯πŸŽ·πŸŽΆπŸŽ΅πŸ†

(PICHA) Rayvanny Vivanny boy anaandaa kitu kwa ajili ya mashabiki zake😊🎹🎧🎀🎡🎢🎢🎬πŸ”₯ kaa tayari

  #repost @rayvanny @downloader_ __ πŸ‡²πŸ‡¦ x πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 🌎πŸ”₯ My Jam 🎼🎼 Soon πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ @dystinct1 thanks for coming My G #Globalway Fam @s2kizzy

Zanzibar, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #Africa

  #Zanzibar

Welcome to Dar-es-Salaam, Tanzania

  Beautiful Dar-es-Salaam City

Ali Kamwe Ataka Mpambano Mwingine na Mamelodi Sundowns

  Msemaji mkuu wa Young Africans (Yanga) amemuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Said kwenye kilele cha wiki ya wananchi kuufungua msimu wa 2024/2025 apambane awaletee Mamelodi Sundwns. Akidai kwamba bado hawajamalizana. Nimemuomba Rais wa Yanga @Caamil8 Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns Sisi na Wao Bado Hatujamalizana.. — Ali Kamwe (@AliKamwe) April 7, 2024