Skip to main content

Posts

MSIMAMO WA LIGI TANZANIA NBC PREMIER

 

PICHA AZIZ KI AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI🔥

 Mwamba wa wagadugu🔥🔥🔥 photo: Aziz Ki

(PICHA) VANNY BOY AKIWA NA FAMILIA YAKE MPYA NDANI YA NEXT LEVEL MUSIC #NLM

  RAYVANNY TANZANIAN MUSICIAN

(PICHA) Rayvanny Vivanny boy anaandaa kitu kwa ajili ya mashabiki zake😊🎹🎧🎤🎵🎶🎶🎬🔥 kaa tayari

  #repost @rayvanny @downloader_ __ 🇲🇦 x 🇹🇿 🌎🔥 My Jam 🎼🎼 Soon 🔥🔥🔥 @dystinct1 thanks for coming My G #Globalway Fam @s2kizzy

Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 #Africa

  #Zanzibar

Welcome to Dar-es-Salaam, Tanzania

  Beautiful Dar-es-Salaam City

Ali Kamwe Ataka Mpambano Mwingine na Mamelodi Sundowns

  Msemaji mkuu wa Young Africans (Yanga) amemuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Said kwenye kilele cha wiki ya wananchi kuufungua msimu wa 2024/2025 apambane awaletee Mamelodi Sundwns. Akidai kwamba bado hawajamalizana. Nimemuomba Rais wa Yanga @Caamil8 Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns Sisi na Wao Bado Hatujamalizana.. — Ali Kamwe (@AliKamwe) April 7, 2024