Skip to main content

Marioo anatarajia mtoto kwa mpenzi wake Paulah?

Mwanamuziki staa mashuhuri kutokea Tanzania leo amepost picha kibao akiwa na mpenzi wake mrembo Paulah Kajala zikionyesha tabasamu zito sana na ni kama wanatarajia kumpata mtoto wao wa kwanza,  Marioo katika post yake ameandika, “Is it a boy or girl !?”huku akiweka alama ya emoji inayodhihirisha furaha kubwa aliyo nayo 

Nimekuwekea picha hapa uziangalie na wewe mpenzi msomaji wa kurasa zetu.

 #repost @marioo_tz @downloader_

__


Is it a boy or a girl !? 😉

A. Girl 💝

B. Boy💙

.

📸 by @bless_dollar 🙌













Follow us for more content like this/

Tufuatilie kwa makala nzuri zaidi kama hizi.

Comments

Popular posts from this blog

Jeff Bezos new girlfriend and future to be wife Lauren Sanchez random pictures yesterday event

 

Tazama Listi ya Nchi 10 Bora Zenye Warembo Wazuri Zaidi Afrika

Zifuatazo ni nchi 10 bora zenye warembo wengi na wazuri zaidi Afrika:- Ethiopia:   Ethiopia ni nchi yenye utajiri wa tamaduni na wanawake wenye sura za kuvutia. Wanawake wa Ethiopia mara nyingi wanajulikana kwa macho yao ya kupendeza na ngozi yao ya asili. Mfano maarufu ni Liya Kebede, mwanamitindo ambaye amekuwa ikoni ya urembo wa Ethiopia kimataifa. Wengine ni Sara Nuru, Gelila Bekele, Lola Monroe, na Helen Getachew, ambao wameendelea kuwakilisha urembo wa asili wa Ethiopia katika tasnia ya mitindo na burudani. Tanzania:  Tanzania ni nyumba ya utamaduni mchanganyiko na uzuri wa kipekee. Wanawake wa Tanzania wanajulikana kwa ngozi yao yenye rangi ya asili na tabasamu lao la kupendeza. Hamisa Mobetto, Flaviana Matata, Millen Happiness Magese, Irene Uwoya, Wema Sepetu, na Agness Masogange (Rest in peace) ni baadhi ya wanawake wenye urembo na vipaji kutoka Tanzania, wanaoendelea kufanya vizuri katika tasnia ya mitindo na burudani. Zimbabwe:  Zimbabwe ina wanawake wenye urembo wa asili na

Ali Kamwe Ataka Mpambano Mwingine na Mamelodi Sundowns

  Msemaji mkuu wa Young Africans (Yanga) amemuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Said kwenye kilele cha wiki ya wananchi kuufungua msimu wa 2024/2025 apambane awaletee Mamelodi Sundwns. Akidai kwamba bado hawajamalizana. Nimemuomba Rais wa Yanga @Caamil8 Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns Sisi na Wao Bado Hatujamalizana.. — Ali Kamwe (@AliKamwe) April 7, 2024